Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Acha masihara beibe huyo hayupo kabisa🙄😂😂😂😂 Kwahiyo ikawaje sasa?? Hapa jf unapewa yeyote ushindwe wewe.!! Nikikumbuka nachekaga sana.!! Kwahiyo na wewe kwenye list ya Jack upo? 🤣🤣🤣