Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ana maneno huyo Jack

Miaka ya nyuma tukaandikiana hadi mashairi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mambo yalikuwa moto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hadi watu wakawa wanauliza kama kweli ni kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupuuuu
 
Unalala sana mpk tumechelewa kumjoin Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmemaliza ugomvi na ba tamu, basi umeikeshea mwenyewe
Umejuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuuu, unaambiwa kunaa jamaa anataka kunioaa na nimzalie watoto wazurii,
Wee huogopiii? Had nakemea hii nyotaa ipunguee.
 
We kuweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mishangazi yake inanizoom, inajipanga itoke vipi kuja kunikabili [emoji1787]

Hello mashangazi [emoji2772] Jack wenu yuko safe mi namtania, ila mkileta ngenga namchukua kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu!! Ila JF ina njegekaa.

Kuna siku nilipost picha niko nje Library pale UD, sasa lekcharaaa akasema nae yuko maeneo hayo hayo.

Waja wasisebenzue eti tulikutana na kashi kashi za kushatoooo. Kila nikikumbukaa nachekaa had baas.
 
Back
Top Bottom