Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babeeee wangu huyooo, ulikua wapii? Maana kujoin mie hapaa nawe ushatuaa, huibiwii bhana, mie mali yakooo.
Naanzaje kukuacha Tajiriiii?
Em nichapee na helaaa niswampiree weekend!!!
Unazingua kaka, watu watakufuata PM halafu siku ya kuonana ndio ile mtu anapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Unazingua kaka, watu watakufuata PM halafu siku ya kuonana ndio ile mtu anapigwa na kitu kizito kichwani.
babeee anifate nani PM? Akati tangu niwee nawe tajiri nimefunga kabisaaa!!!

Em acha ubakhiriii, nipee helaa nikamringishee uduguuu!!!
 
Back
Top Bottom