cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,981
Em muaminishee bas, unakwamaa wapiii wee lekcharaaa?Huyu udugu wako maswali meengi anashindwa kujiamini[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em muaminishee bas, unakwamaa wapiii wee lekcharaaa?Huyu udugu wako maswali meengi anashindwa kujiamini[emoji28]
😜😋😋😋
Siwezi kuongea na mtu mjinga mimi. Nkamu huyu kantri anapenda sifa za kijinga, kila muda anajisemesha vimaneno km zai kijiwe nongwa vileAcha Nkamu
Punguzeni kwanza hasira ndio muongee kwa upendo
Horror only?Kesho hiyo mapema namaliza weekend yangu na hiziView attachment 3023343View attachment 3023344View attachment 3023342
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kujua iwejeee??Aisee, Kwa hio na wewe huyo ba tamu anayekutafuna exhaust ulimpatia humu?
Huwezi tena kuongea na mtu mjinga? Huwa unapenda kweli kujiweka hivi wakati unajua huna hiyo classySiwezi kuongea na mtu mjinga mimi. Nkamu huyu kantri anapenda sifa za kijinga, kila muda anajisemesha vimaneno km zai kijiwe nongwa vile
Niko pouwa kabisa nimekunywa maji tyuu 😂😂😂My Wii umekunywa nn Leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu lekcharaaa hata naelewa bas, ila alikua ananitambiaaa mie kuwa ana clear bill zote had luku,Weeh!! Kumbe lekcha ndo aliyemtupia pande la mchongo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ko lekcha mambo alikula na ajira hajampa mwenzie mie sitakiii uduguuu khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu usiondoke, ko boss wa kampuni alipita naye au ilikuwa miosho tyuu??! Mana kajua kutrambaa kwamba yy ndio First Lady wa boss [emoji12][emoji108]
Thubutuuuu yakee kwa boss's kujiosha tyuuh hakua hata na tyme, c angempa coverage humu, mmmmzxxxxxxiiiiiieeww!!!Weeh!! Kumbe lekcha ndo aliyemtupia pande la mchongo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ko lekcha mambo alikula na ajira hajampa mwenzie mie sitakiii uduguuu khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu usiondoke, ko boss wa kampuni alipita naye au ilikuwa miosho tyuu??! Mana kajua kutrambaa kwamba yy ndio First Lady wa boss [emoji12][emoji108]
Uduguuuuy jamaniiiii!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupuuu.Shosti yake yule bandama au yupi huyo? Mana yule kila mtu shosti yake humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabata walimfanyaje? Wahuni walijinyakulia kombe au alichagua bega?
Nitumbuliwe wapi? Kuna siku utajiona mjinga sanaWewe wakutumbue ili tuwe tunashinda tunazogoa vizuri huku si unapenda umbea??
Weka msg zote mbona huweki? Zimeisha?
Yani wewe sijui ni limwanaume gani?? Sijawahi kuona mwanaume ana mambo ya kike km wewe?? Anakuzidi sele?? Humuoni vijiwe vya umbea wala kuchambana na wapenzi wake. Yule jamaa anadeserve kujiita smart. Kazi ipo kwako kisokolokwinyo hupitwi na umbea