Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,863
πππ Kajichoka, halafu kuna siku tulianzia kuna comment nilimjibu shit afu akanijibu kistaarabu mwenyewe mpk drone drake akamshangaa km ni yeye kweli Mbaga?? Basi toka hapo kaniganda. πππππππππ kuna wanaume wanapenda wanawake wakali, wenye gubu. Itakuwa na huyu Mbaga ndiyo walewale... ukoo wa gubu huu
Ila Mbaga ni kichaa na mkorofi usimuone hivyo, vijana wa chugga wote bangi nyingi hafu nna mikosi nao humu.!!