Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,073
- 96,191
Wapare wanapenda hekaheka 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu nina nyota na waparee, yaan najimix nikija kuibuka mpare huyu hapaaa, toka yulee mhayaa aendee. Wapare wananidakaa km nna ubia nao,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kina Mangi na watani zao wapare mpk nachoka mitongozo yao huku kitaani