100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,175
- 36,361
Bro unakubali vipi kupigwa kizembe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu nikimtibua huwa ananipa neno 1 nanywea maji, hapo ntaanza kumchamba yeye had atachukia.
Kuna siku nilijichanganya afu tulikua wote Pa1, nilipewa kelbu ya shavu, nililia ile siku, sikumsamehe had alipooni pooza na ka farangaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi yanataka heka heka.