Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee huyo dr mbona ana balaa uduguu.!! Anataka njegeka la kidampa atawezana nalo kweli?? Au anataka kutelekeza familia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jiachie uduguu wangu weeeh.!! Ba tamu mwambie akae kwa kautulia kwanza [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kidampaa mcharukooo? Mie nikiweka vyeti pembenii, nabakiwa na heka heka za kushatooo.

Raha ya kusoma unagombaniwa na wasomi na wenye status zao.

Wee huogopiiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyuu ba tamu, bado sija muamuliaa mbona hata amini, wee muache tyuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi kuna dawa za kupunguza nguvu za kike??

Kuna MTU inabidi apewe
Hahaha.........huyo ukifanya mchezo atakuua πŸ˜…

Ndiyo maana Wazee hatujihusishi na hayo mambo πŸ™Œ
 
Oyooooo.!!! Say it loudddddd uduguu huku nyuma hawajasikia.!! πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ Raha ya nini??

Mwambie ba tamu engineer unagombaniwa na KAZI UNAIWEZAAAAA πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
Mbona pambeeee tyuuuu.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aliweka yenyewe bana, sema leo aweke namba za simu.
Matamanio yake makubwa kufika piem kwangu, sasa mimi na Wapare hapana nimefunga ukurasa nao.!!
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Kijana muhuni huyo kama anko maba
 
You are always don't want peace Mjukuu πŸ™Œ

Hivi huna huruma na Wazee?
Babu nchi ishauzwa amani itoke wapi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee wewe unawapelekea motrooo mpk wanaomba poh 🀣🀣🀣
Babu Shikilia hapo hapo usiachie, channel zote zinakamata kwako, pesa unazo na KAZI UNAIWEZAAAAAAA!! Woyoooooo!!
 
Rahaa ya kukalia dawatiiiiiiii!!! Nyie kidampa anazama COET
Watu wanashangaaa tyuuu, kidampaa anavaa joho afu bila sup wala carry? Nyie hamuogopiiiiiii???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamu mwenyewee anaona faharii kumilikiii chomboo kilichopiga PCM.

wapiiii tanter, wapiii Chand, wapi mechanics, hujagusa projectile motion.

Muacheniiii atambeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KIDAMPA umeweza, πŸ™Œ umeweza πŸ™Œ umeweza treenaaaaaahh. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Wakuache utambe Joho umevaa na umetamba nalo, anayekataa ANYE BOGA 🀣🀣🀣🀣

Na wakuachee humu jf kwa raha zakoooo.!! Na zile dreads km za Noel kaweekee uduguu wapasuke vizuri 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaani utasikia "usimuonee hivyoo amesoma huyoo"

Bas kidampaaaa kichwa hikooo, vijana uchwaraa wanaanzajee kumsogeleaa? Classmates wake wanamuendea kwa nywilaaa na adabu.

Wasomii na mabosss tyuu ndo wanao mfata, afu nyota anayoo, kidampa kuwekwa wazi kwa umma, kuwa yuko na boss kubwa, nyie hamuogopiii tyuuu?

Sasa anaachaje kutrambaaaaa na kujikubaliiiiii? Amefanya ambavyo straight uchwaraaa wameshindwaaaa, nyiee hamuogopiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimelewaa kabla ya kunywaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Boss kubwa la kampuni lilikutambulisha likaacha hao wanaojiita pisi kali, wao hawaogopi???!!
Uduguu ulijua kumkamata boss kila uzi β€œwife wangu coca” basi nyakunyaku wananuna mashavu km andazi la kiyahudi 🀣🀣🀣🀣🀣

Umejua kupambana uduguu ile ligi sio mchezo huku nyakunyaku, huku vidampa wa mwendokasi…… uduguuu una nyotraaa kali buana.!! πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ

Na kuwakomesha mrudishe kwa kasi ya 5G wapasuke na panya waliojificha mapangoni wote watoke, na atakayeinua kichwa tunakiponda wee huogopi..!! Ww ndo ndimu mkata shombo, kabali yao.!! Weeeeeh jamaaaaah Naona raha miyeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii watu weuweeeeeee!!!! Wanamfata PM kumpa vijimaneno, bas anakuja tsup ananionesha vyoteee.

Na mie namjibu achana nao hao, wee nisikilize mie, bas yeye anajibu fresh, namuambia bas babee nipoozee kidogo.

Anatuma muamalaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieee nimefauduuuu.

Popote ulipoo boss kubwaa, ubarikiwe sanaaaa, huna bayaaa afu nimekumic balaaa, njooo nikuimbiee tenaaaa.

Woyoooooooooooh!!! Nimewezaaaa afu nimewezaaaa treeenaaaaa!!!!
 
Aje in alikiba voice
 
πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ Treeeenahhh.!!!
Honeyyyy nichanie mistari Lamomy nionnneeee rahaaa.!! πŸ€Έβ€β™€οΈ

Hawajiamini sura zimewashuka km uji uliopoa, na vimaneno vyao pm ndio wameambiwa watampata bwana ovyooooo.!!! Wenzao wakituma tunaonyeshwa alafu tunawacheka hihiiiiii, HAMTUSHUHULISHI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kwa taarifa yao piem zao nyingine tunawajibu sisi huku tunawadharau watoka pabaya, wasojua kupendwa wakatulia.!!
Sura chachu km wapolopolo waliokoswa koswa na kifusi mgodini 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huku sio sehemu ya kupigana ni kutoa hoja tu πŸ˜‚πŸ˜ Cc Hope urassa
 
Aje in alikiba voice
Mbona kinyonge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe nakujua ukizidiwa unaitaga modes, na maba naye namjua weakness zake anajifanya anakaza ila pembeni anaripoti.!! Sasa km refa wa mchezo sitaki kuona hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…