Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,942
Weka nawe tuige style 😂sijawahi miliki wala kuvaa mawigi mimi😂😂uone ili uige
Weka nawe tuige style 😂sijawahi miliki wala kuvaa mawigi mimi😂😂uone ili uige
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ntakuja kuweka dreads, nakaa nazo week afu nanyoaa zote.Kwahiyo ww Noel ndo kakushawishi?? Baki hivyo hivyo bana, mi natamani kurudi nilikotoka kwenye low cut. Leo nilikuwa natazama pic zangu nimewaza nataka nifanye maamuzi magumu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huku mvua hakuna bwana ni mawingu tu no jua.Leo ni mwendo wa masweta tangu asubuh hali ya hewa ni njombe tupu
nmenyoa kawaida kabisa kama mwanafunz 😂Weka nawe tuige style 😂
😂😂😂😂 Mimi nilitamanigi kuna kipindi ila shem wako akasema ukianza kusokota dread huna muda utaulizia mpepe ukamilike dada Bob 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ntakuja kuweka dreads, nakaa nazo week afu nanyoaa zote.
Lazima nijue nikiwa na dreads nakuajee, woiiiih
Hivo hivo tuone 😂nmenyoa kawaida kabisa kama mwanafunz 😂
Naona anazunguka sana hayuko straight 🤣🤣🤣😂😂😂 Mjinga wew
Nimetinga sweta la traki naenjoy hali ya hewa at standard temperature & pressure (S.T.P)Mbona unalalamika sana na baridi si utume ticket Ms R aje kukupasha bro 🤣🤣🤣
Si ndo li ba tamu hili limeni cancel, linasema ukiweka dreads utadharaurika mara mia, yule noel ni designer wee je?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nilitamanigi kuna kipindi ila shem wako akasema ukianza kusokota dread huna muda utaulizia mpepe ukamilike dada Bob [emoji1787]
Nikaishia kusuka butterfly locks
😂😂 umejuajeNaona anazunguka sana hayuko straight 🤣🤣🤣
Ila shem naye jau, kudharaulika kunahusiana nini na dreads?!! 😂😂😂😂Si ndo li ba tamu hili limeni cancel, linasema ukiweka dreads utadharaurika mara mia, yule noel ni designer wee je?
Nimechokaa hoiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kanitamanisha kwa kweli, nimezipendaa wallah.
Sasa ukicheka na nilishakukula shida iko wapi🤣🤣🤣🤣Utachekwaaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si naona anavyojikanyaga na ww umekaza 😂😂😂😂😂 umejuaje
Kumbe mlikulana? 😂😂😂Sasa ukicheka na nilishakukula shida iko wapi🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie usinichekeshee, yaan ananichoshaa tyuu.Ila shem naye jau, kudharaulika kunahusiana nini na dreads?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe mwambie designer wa vijora unamsaidia dada ako anaitwa Lamomy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka km chizi we coca 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie usinichekeshee, yaan ananichoshaa tyuu.
Sasa mie na kudharaurika kunanipa shida gani? Niache kujikubali kisa raia uchwaraaa.
Yaan huyu inafika hatua natamani kumuacha apite kule, ananiboa sometimes.
Alichana kijoraa changu, siku hiyo nimeenda kwake, niko napika nomevaa kijora changu cha chui chuii pambee, asikichanee, moyoo unauma had kesho.
Mwenzake navaaga nikiwa home nacheza taarabu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Go for itSawa mkuu