ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,260
Mbona siku ile uliweka? Weka ya siku ile uliyovaa kibegi una umbo la kukauka nilikufananisha na Barnaba ila yeye ana misulimwanaume kujipiga picha niushamba
Mbona siku ile uliweka? Weka ya siku ile uliyovaa kibegi una umbo la kukauka nilikufananisha na Barnaba ila yeye ana misulimwanaume kujipiga picha niushamba
hii ID haijawahi kupost picha kibonge acha mawengeMbona siku ile uliweka? Weka ya siku ile uliyovaa kibegi una umbo la kukauka nilikufananisha na Barnaba ila yeye ana misuli
Sawa umeshindahii ID haijawahi kupost picha kibonge acha mawenge
Nikikisema utamsumbua sana kaka 😂😂😂gani iko ebu nisanue🤣🤣🤣
😂😂😂 ndioBinamu wanatoa free mtelezo?
acha uchoyo nambie bwan 😂Nikikisema utamsumbua sana kaka 😂😂😂
kilasiku Mimi nimshindi mySawa umeshinda
Mbn binamu zangu hawaniblessigi afu wazuri kweli😂😂😂 ndio
Anakutaka sana anajifanya kuleta mapozi tyuu 😂😂😂😂Hanitaki huyo.....acha nahangaike na zle sajili za namba E plus container jipya linaenda kumwaga mtaaani kutoka chuo
Hujakaza tyuu!!Mbn binamu zangu hawaniblessigi afu wazuri kweli
😂😂😂 nishawishiacha uchoyo nambie bwan 😂
Mods awatako uselfiko iyooo🤣🤣🤣Moderators
Naomba mnijie kwa nywilaaa, picha zisizo za maadili ni zipii? Na zinakiuka kanuni ya JF kwa lipii? Mnichokozee taratibuu.
Mnataka nisi selfike? Mbna wengine wana selfikaaa, em mniacheee mie,
Natuma tena zaidi ya hizi, maana uhuru ni wangu ku selfika km uzi unavyotakaa.
![]()
Wiii mbeengo zitafungukaaa....na hili komwee🤣Mamy K wifi punguza kucheka njoo uselfike hapa toto la kimakonde 😂😂
heh wew 🤣🤣😂😂😂 nishawishi
Kaone kwanza, wee tutakuchamba uzimie na hivyo vichambo vyako vipya 😅😅😅😅Bantu Lady na Lamomy njoen mnichokoze basi,,nna vichambo vipya vinanchanganya apa
siwezi zimia,,mimi hupenda kujifunza mambo mapya 😌😌Kaone kwanza, wee tutakuchamba uzimie na hivyo vichambo vyako vipya 😅😅😅😅
Ww selfika hapa atakayekuchamba tunaruka naye 🤣🤣🤣Wiii mbeengo zitafungukaaa....na hili komwee🤣
SawaHope urassa selfika 🖐️ tajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Nishawishi 😌heh wew 🤣🤣
ngoja nikutumie helaNishawishi 😌