cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
Kwahiyo ww Noel ndo kakushawishi?? Baki hivyo hivyo bana, mi natamani kurudi nilikotoka kwenye low cut. Leo nilikuwa natazama pic zangu nimewaza nataka nifanye maamuzi magumu.![]()




ila ntakuja kuweka dreads, nakaa nazo week afu nanyoaa zote.Lazima nijue nikiwa na dreads nakuajee, woiiiih
