Endelea kuotaHiyo dawa ili iingie vizuri mwilini lazima niipake Mimi. Na sio MTU mwingine...
Ukiwa mbishi hutapona, binti
Msaidie kumuelekeza. Mimi ntamfundisha practise wewe theory[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa hall V, ko mie ni lecturer wa mzagamuo.
Jamaniiiii
Sio wa kishua, ila wakaka wa Dar ni wachafu bhana, hizo boxer rangi had inaomba pooo, afu wanaweka mlegezoo. Harufuu kunukaa fuuuuu!!!Wakishua hamjui joto la dar
Hapana mkwe, lazima upate Tiba.Amka baba mkwe unajikojolea..!π€Έ
ππππππSio wa kishua, ila wakaka wa Dar ni wachafu bhana, hizo boxer rangi had inaomba pooo, afu wanaweka mlegezoo. Harufuu kunukaa fuuuuu!!!
Wanakeraaa sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilipanda za Gomz, sasa kuna mkaka alisimama pembeni yangu, afu kaweka mlegezo, boxer linaonekanaa lichafuu hilo balaaa, harufu yake sasa afu yeye yuko mkavuu hata hastukiii.Za mbagala nipo[emoji23]
Harufu samaki si samaki panya si panya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa, basi sawaaa.Msaidie kumuelekeza. Mimi ntamfundisha practise wewe theory
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajifanya eti uanaume, sasa uanaume ndo unuke km mzoga ulio oza? Khaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha pm nkutumieUsilie sana selfika basi
Tuoneshe miguu πSawa
Wee huyo dr mbona ana balaa uduguu.!! Anataka njegeka la kidampa atawezana nalo kweli?? Au anataka kutelekeza familia ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nina heka heka mie, ni vilee nafanya ujinga kwa akili afu naangalia mazingira, nikiwa pekee angu mambo nayofanyaa hadi najiuliza kichwani nimeweka akili au udongo wa mfinyanziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Dr mwenye masters yake, yuko hapo Moro hospital ya mkoa, kaanza kunifatilia tangu niko 4m 5, mie namkataaa, haendani na mie kabisaa, naogopaa kumpa manjegeka yanguu.
Nikijiangalia u kichwa maji wangu, huyu kaka ataua wagonjwa wa watu buree kwa stress nitakazompaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatareeeee!!!
Unazunguka sana bana km sio mjanja πππJeshi la police lipo makini na huu uchochezi unataka kufanya
Si mtakimbia mfe vilivyo vifitoTuoneshe miguu π
Tuoneshe guuu la bia hilooπSi mtakimbia mfe vilivyo vifito
π€£π€£π€£ Mi nataka nikupe tiba kibadilike kiwatishe wala nauli.!!Wee kiocra changu unakisema sana ebu njoo ukionje basi
π πKwakweli mganga wako sio tapeli babu π
Mguu ndo huu naleta kichwa sasaTuoneshe miguu π
π€£πMguu ndo huu naleta kichwa sasa
Nitumie kwenye email ya JF watanirushia piem ππππWacha pm nkutumie
Huyu ndio yule jamaa aliweka email ya mchongo π€£ππNitumie kwenye email ya JF watanirushia piem ππππ