Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Got a plug.
Hahah...kupata kichekesho hiki bonyeza *150*01*0# kitakuwa cha kwako
Mie ni mweusi dear, sema hizi wereva zetu sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
Ha haaaJana tumelewa sana pombe tukachoma na mbuzi kula sana nyama. Cha ajabu tumeamka Leo asubuhi tumekuta yule mbuzi yupo hai ila mbwa Hamna, sijui kapotelea wapi View attachment 1280922
Sema ahsante ukisifiwa bwana ahaaaa
Jamaa kaenda bafuni hivyo...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahah...mimi ndio nipo pale juu kabisa ya wasiokuamini...wewena Karma wajanja wajanja sana...ila dawa yenu ndio naipooza hapa baada ya kuichemsha [emoji16]
Niteue mimi niwe msemaji wako mkweMambo ndio hayo sasa.
Sijui kwanini nikisema hivyo siaminiki, sio humu tu hata huku nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Jamaa kaenda bafuni hivyo...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Habari za asubuhi?Haya rudisha hiyo picha sasa hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kaenda bafuni hivyo...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Khaaah!! Wewe sikuamini.Niteue mimi niwe msemaji wako mkwe
Habari za asubuhi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]na nani??
Marahabaaaa!!Salama Shikamoo
Marahabaaaa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]