Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,744
Unanitesa jamani wewe mwanmke
Unanitesa jamani wewe mwanmke
South hiyo baba
Huh!!!!!Naomba nikusaidie wakati wa kuvuna mpendwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbio zote mzee ulikuwa unawahi kudeal na senene?
Hawa wadudu wamenishinda kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134] sijui watani zangu mwazipendea nini[emoji1745]
Mkuu uko wapi? Nije
South hiyo baba
Hawa wadudu wamenishinda kabisaaa[emoji134][emoji134][emoji134] sijui watani zangu mwazipendea nini[emoji1745]
Ukiwaunga hivyo ndio wala na nini?Huna bahati kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AtotoUkiwaunga hivyo ndio wala na nini?
kimefanyejeeeKiatuuuuu
Ukiwaunga hivyo ndio wala na nini?
Nina shehena huko likizo naagizaKuna mchizi wangu kaniletea toka kijiji flani huko.
Every Mom Is Nice Except Mine "Eminem"
Anasema hua usiku wa manane anajisomea Dictionary ili kuongeza misamiati kichwani.. hii imemfanya wimbo wake wa Rap God kuingia kwenye rekodi ya wimbo wenye maneno mengi yaliyotamkwa katika muda mchache 6Dk.
Nami namuiga jamaa eti..
View attachment 1280891