Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
I don't know if it still qualifies as lunch, but I know it's time to devour.
Itakuwa alirushiwa chakula yenye dawa ya kuzimisha...nusu kaputiWanaiba mbwa sijui wanatumia nini aisee, wanakuja kuuza huku barabarani laki 2-3, mbwa alikuwa mkali hamna mtu aliyemsikia akibweka huwezi kuamini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahah...mimi ndio nipo pale juu kabisa ya wasiokuamini...wewena Karma wajanja wajanja sana...ila dawa yenu ndio naipooza hapa baada ya kuichemsha [emoji16]
Ni nini hiki Paulo?I don't know if it still qualifies as lunch, but I know it's time to devour.
View attachment 1281689
Hahaha...basi mimi samehe wewe mkwe wangu wa kwanza na wa mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mkwe usinifanyie hivyo jamani.
I don't know if it still qualifies as lunch, but I know it's time to devour.
View attachment 1281689
Nilipoona picha nikajua tu ni wewe.
Ni nini hiki Paulo?
Unanisamehe tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha...basi mimi samehe wewe mkwe wangu wa kwanza na wa mwisho
Ndio mambo yako hayo.Kwa nini? [emoji23]
Looks yummy, what are you washing down with?
Ndio mambo yako hayo.
Hahah...sasa nifanye nini mkweUnanisamehe tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanaume wa dar mpo juu
Niamini mkwe.Hahah...sasa nifanye nini mkwe