Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Ayaaa yaani ungeiona Jr sijui nkwambie nn ana rang moja amazinggggggDah keshafuta
Halaf ana vidole vya kike vzriiii
Mguu wa bia ohooo pole
Ayaaa yaani ungeiona Jr sijui nkwambie nn ana rang moja amazinggggggDah keshafuta
Mie mzima wa afya mkwe, hofu na mashaka ni kwako ulie mbali na upeo wa mboni zangu.Hahah...nilipo ni alasiri, hivyo usijali ni kama jioni...
Mzima wewe mkwe?
Hahaha...hebu muone vile na misemo yake inayofuruga mpangilio wa mbavu kwa dakika chacheTunasubiri utuhamishe mkwe, japo tuko singo![]()
Unaongelea nini mama?Ayaaa yaani ungeiona Jr sijui nkwambie nn ana rang moja amazingggggg
Halaf ana vidole vya kike vzriiii
Mguu wa bia ohooo pole
Haki kuna watu Mungu aliwaumba acha tu.Hahaha mie nikionaga mdada mzur nasema mwenye huyu manzi anafaidi
Kuna watu wazur aiseer acha kabisaaa
Yaan anambambia mwenzake hv hvbaradhuli mkubwa huyu
Ukijilinganisha ni ardhi na mbingu dadekiiHaki kuna watu Mungu aliwaumba acha tu.
Naongelea pcha yako hahahhahaUnaongelea nini mama?
Nilishaanza kupata matumaini ya kupanda ndege, ghafla mtoto yuko singoHahaha...hebu muone vile na misemo yake inayofuruga mpangilio wa mbavu kwa dakika chache




Sema ahsante ukisifiwa bwana ahaaaa
Mimi mkwe ni mzima wa afya, hapa nilipo nakunywa maji na kwa mbaaaali naona taswira yako...Mie mzima wa afya mkwe, hofu na mashaka ni kwako ulie mbali na upeo wa mboni zangu.
Hahaha...singo but takenMkwe umesahau kuwa mimi na binti yangu tuna hali gani?![]()