Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,453
- 52,962
Dawa ya wezi ni kuchoma motoAcha tu dear
Yaani alivyosema hvyo nkakumbuka mm walivyonifanyia inauma mnooo
Dawa ya wezi ni kuchoma motoAcha tu dear
Yaani alivyosema hvyo nkakumbuka mm walivyonifanyia inauma mnooo
Wanaume wana faidi una karangi katamuPunguza hasira twende tukazurure shee.
View attachment 1281661
Si ukiwapata sasaDawa ya wezi ni kuchoma moto
Sasa ndio kwetu tutafanyaje!!!
Punguza hasira twende tukazurure shee.
View attachment 1281661
Daah wewe jamaa inaonyesha sio mfuatiliaji wa muvi.. Tuco ndio alikua anamwita Blondie ila wengine walikua wanamfahamu kama the man with no name...
Kweli nimekosea hakua gavana ila alikua Meya
View attachment 1281545View attachment 1281546
Mie ni mweusi dear, sema hizi wereva zetu sasa[emoji134][emoji134][emoji134]Wanaume wana faidi una karangi katamu
Kidogo ufanane na Lulunation
Weusi tumebaki wachache,be proud bwanaMie ni mweusi dear, sema hizi wereva zetu sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mkwe habari za jioni? (Utajua mwenyewe ulipo ni muda gani)kweli mkwe ninaye [emoji4]
Wanaume wana faidi una karangi katamu
Kidogo ufanane na Lulunation
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weusi tumebaki wachache,be proud bwana
Hahaha mie nikionaga mdada mzur nasema mwenye huyu manzi anafaidiHivi wadada kumbe nanyi huwa mnausemi kuwa "wanaume wanafaidi"
Yaaap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mpiga debe aliniambia tumebaki wa sample.
Nilipoona picha nikajua tu ni wewe.
Mkwe habari za jioni? (Utajua mwenyewe ulipo ni muda gani)
Tunasubiri utuhamishe mkwe, japo tuko singo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hivyo unakufa na tai shingoni