Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Hukawii kumwambia unamuona kwa glassMimi mkwe ni mzima wa afya, hapa nilipo nakunywa maji na kwa mbaaaali naona taswira yako...
Mwe mwe mweeeeh!! Sio taswira ya binti singo?Mimi mkwe ni mzima wa afya, hapa nilipo nakunywa maji na kwa mbaaaali naona taswira yako...



Can't do it any longer..Lol hebu soma tena 'ushahidi' wako.
Pazuriii
Sasa jiandae kupanda magari ya magazeti mkwe...Nilishaanza kupata matumaini ya kupanda ndege, ghafla mtoto yuko singo
Huyu mtoto hapendi maendeleo yangu kabisa sijui kwanini!!!!

Hukawii kumwambia unamuona kwa glass
Ujana wa zaman bwana
Hahaha ya binti singo huwa naiona kwenye juisi ya pasheni au soda ya kipapli (mirinda nyeusi)Mwe mwe mweeeeh!! Sio taswira ya binti singo?![]()
Hahah wewe najua ni vere tekeni...Hiyo ni yeye bwana sio mimi![]()
Hahahja utasikia ntumie picha nkuone basiHeheh sisi vijana wazee ndio misemo yetu hiyo...
Siku hizi vijana wao taswira waona kwa DP sijui DM...
Hahaha ya binti singo huwa naiona kwenye juisi ya pasheni au soda ya kipapli (mirinda nyeusi)





Yeah ndio hao hao safari hii wamenipata ila moto utakaowawakia wa jehanum cha mtoto
Hii ni kweli man, if there is no one at home huwa nnakuwa nna mashaka sana, kama leo familia nzima imeanua kuelekea kijijini na mimi ni mtu wa night kali, washenzi juzi kati waliniibia mbwa wangu ikaniuma sana sijui wataniibia nini mpaka hii holiday iishe, mbaya zaidi sijaweka nyaya za umeme
Doooh!
Man man pole sana...
Hivi si kama last two/three weeks uliandika jamaa walitembelea jirani yenu hapo uzuri ulikuwa macho...Sasa hao washenzi inaonekana hawakuridhika
this's one of the reasons why i hate residing in TZ, unaishi ukiwa na wasiwasi karibu kwa kila wakati...
Mmh wameiba mbwa? Hp hawatamdhuru.. Sasa inabidi umakinike mno.. Anything can happen
Hii ni kweli man, if there is no one at home huwa nnakuwa nna mashaka sana, kama leo familia nzima imeanua kuelekea kijijini na mimi ni mtu wa night kali, washenzi juzi kati waliniibia mbwa wangu ikaniuma sana sijui wataniibia nini mpaka hii holiday iishe, mbaya zaidi sijaweka nyaya za umeme