Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Hongera Mjukuu, kusema kweli ulipendeza sana kwenye huo mtoko 🤗[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu huyu ni mie, kwan umenisahau mjukuu wako mara hii?
Ingekuwa enzi zangu, ningekupa Ulinzi hadi unapokwenda ili kuepusha nisiibiwe maana najijua Kwa Wivu 😜🙌