Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,334
Hapo sawa, maana nilitaka nimwambie Bibi yako akutumie ule wimbo "Huyo ni chaguo lako" 😜Sijapokea babu
Hapo sawa, maana nilitaka nimwambie Bibi yako akutumie ule wimbo "Huyo ni chaguo lako" 😜Sijapokea babu
Tajiri selfikaYani babu kabali yao!! 🙌
Unaimemena misambusa sio shida zako 🤣🤣🤣
Mwambie autume ili niwe nakumbuka kila mudaHapo sawa, maana nilitaka nimwambie Bibi yako akutumie ule wimbo "Huyo ni chaguo lako" 😜
Hizo nguvu nazitoa wapi Babu yako Mzee hivi 😜🙌Yani babu kabali yao!! 🙌
Unaimemena misambusa sio shida zako 🤣🤣🤣
Bora umemkumbusha, Mwambie Babu yake naingoja selfi yake 🤗Tajiri selfika
Jf ina wakaka smart sana, natamani nione chini umevaa kiatu gani 😀
Hahaha.........sogea hapa jirani nikutumie Kwa BluetoothMwambie autume ili niwe nakumbuka kila muda
Hadi MimiBora umemkumbusha, Mwambie Babu yake naingoja selfi yake 🤗
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kutaka kuangusha cm hapa.[emoji23]Nimelia sana! Mimi 25 sijafikisha ila nikikaa vibaya hadi wazee wananiamkia
Kwanini nipungue wakati hauniwashi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kutaka kuangusha cm hapa.
Dear plz punguza huo mwili, hauendani na umri wako.
Nyiee akhiii, nimepigwa na butwaa hatariii, woiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyejiii naomba pedo hii, nimtamanishie ba tamu. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Mashallah 😎😎😍
Aaah wee dear punguza kidg bhana. Wallah hivi.Kwanini nipungue wakati hauniwashi?
😂😂😂 nishaselfika mpk nimechoka, na wengine wakabeba picha wametunza kwenye gallery zao. Ila ngoja nipite naked dk zeroTajiri selfika
Babu hapo tu unapowavuruga 🤣🤣🤣Hizo nguvu nazitoa wapi Babu yako Mzee hivi 😜🙌
Nimekula chumvi nyingi ujue 🤗