Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,052
Em nawe kwenda, huoni mtoto chuchu saa 6 🤣🤣🤣😁😁😁 Ladies & gentlemen
Em nawe kwenda, huoni mtoto chuchu saa 6 🤣🤣🤣😁😁😁 Ladies & gentlemen
Jf ina wakaka smart sana, natamani nione chini umevaa kiatu gani 😀
Usijali, ntashona mpyaa maalum Kwa Hilo tukio kabambe.Tajiri! Hii suti naomba uvae siku ya harusi yangu
😂😂😂😂 Ukoo wa Mbilinyi siwataki, labda wa kina Ngailo, Ntulo, Msigwa na Tweve kidogoooo.!! Kina Mahenge nao siwatakiiiiUkiendelea hivi utafanya Wazee tupokee hata ile nusu mahari iliyoletwa na Kijana wa Mzee Mbilinyi, maana haufai hakiyanani 😜
Huyu bila shaka ni mtunisha misuli, maana sio Kwa mikono hiyo aisee 🙌Jana nikiwa ktk mtoko wa Eid, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Lamomy uduguu nithaminishee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020140
😂😂😂😂 huu ujinga unautoa wapi??Wakatii wenyewee ndo huu, nawaona mbuzii tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu siogopi wala nn. WoiiiiihView attachment 3020143
Asante tajiri kwa heshima hiyoUsijali, ntashona mpyaa maalum Kwa Hilo tukio kabambe.
Hatari kiatu kiko 👌
Ebhanaeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥Subiri niwekeView attachment 3020073
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Em nawe kwenda, huoni mtoto chuchu saa 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha........Mkinga na Mangi hapo mtoto lazima azaliwe genius 🤗😂😂😂😂 Ukoo wa Mbilinyi siwataki, labda wa kina Ngailo, Ntulo, Msigwa na Tweve kidogoooo.!! Kina Mahenge nao siwatakiiii
Halafu babu mimi nawapenda kina Mangi mwenzio 🤣🤣🤣
Nikipungua lazima nikuzingatie! Wewe ndiye unanipa moyo since day one😂Ebhanaeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu huyu ni mie, kwan umenisahau mjukuu wako mara hii?Huyu bila shaka ni mtunisha misuli, maana sio Kwa mikono hiyo aisee [emoji119]
😂😂😂😂 tupia nyingine wakasarike vizuriHapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chuchu sio lazima zisimame ziwe saa sita Mungu angetaka hvo angewekea mifupaEm nawe kwenda, huoni mtoto chuchu saa 6 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu ninae, na natambaa nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga unautoa wapi??
🤣🤣🤣🤣 Subiri kwanza muoaji apatikane, kuna Mangi mmoja mkusanya ushuru namsikiliziaHahaha........Mkinga na Mangi hapo mtoto lazima azaliwe genius 🤗
Wazee tunasubiri Wajukuu tu 😜
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujaaa nayoo nikiwa nimelipukaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupia nyingine wakasarike vizuri
😂😂😂 tamba tamba uduguu muda wako huu.!! Hii ba tamu ndio ilikuponza ukaachika na boss 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu ninae, na natambaa nae.
Mie na Ba tamu tukilala kitandani, PhD ya ME iko paleee.
Wee huogopiiii? Afu nisiwe jeuri? Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nataka nikuzingatie hivyo hivyo wembamba nitaukuta mbele huko 😄Nikipungua lazima nikuzingatie! Wewe ndiye unanipa moyo since day one😂