Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakutengenezee kwenye mfumo wa Cocktail ama kawaida?

Ukikuta Mzee mmoja amevaa miwani ya macho pamoja na Mkongojo pembeni ujue ni Mimi 😜
Cocktail tu babu.

Sawa babu nikifika hapo ntakuona tu
Mim nimevaa gauni la rangi ya CCM
 
Cocktail tu babu.

Sawa babu nikifika hapo ntakuona tu
Mim nimevaa gauni la rangi ya CCM
Tayari Mhudumu anashughulikia order yako

Ulisema waandae na Mbuzi Choma ama Sato Choma?

Kuhusu hiyo rangi ya gauni nimependa, na hivi Uchaguzi ni Mwakani watahisi Babu yenu nimeanza kukaa vikao na Wajumbe 😜
 
Tayari Mhudumu anashughulikia order yako

Ulisema waandae na Mbuzi Choma ama Sato Choma?

Kuhusu hiyo rangi ya gauni nimependa, na hivi Uchaguzi ni Mwakani watahisi Babu yenu nimeanza kukaa vikao na Wajumbe 😜
Mim na samaki wapi na wapi.
Mwambie aandae na mbuzi choma hapo.

Eeeeh gauni linawaka hatari
Wajue ni vikao vya kamati kuu vimeanza.
 
🀣🀣🀣
 
Mbuzi choma ipo tayari Mjukuu, unasubiriwa wewe tu πŸ€—

Hahaha........vikao vya Wajumbe ndiyo vimeanza rasmi πŸ˜…
Nipo hapa nasubiri lift ya kunileta huko.
Mwambie mhudumu aniandalie na foil nikishiba nabeba
 
Alafu sis huyu coca mbona ananishambulia hvi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mwambie basi apunguze maneno yake machafu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
Mnajuana na coca πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi ule mshangazi wako uliachana nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…