Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,341 Poor Brain said: Mbona katolewa mikono tena Click to expand... Mikono so issue hiko kichwa πππ Kinatisha
Poor Brain said: Mbona katolewa mikono tena Click to expand... Mikono so issue hiko kichwa πππ Kinatisha
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jun 17, 2024 #385,342 Grahams said: Huyo alikuwa rafiki yangu Mzee sumbai , Mimi Babu yenu nimeokoka tangu Mwaka 47 π€ Click to expand... π€£π€£π€£
Grahams said: Huyo alikuwa rafiki yangu Mzee sumbai , Mimi Babu yenu nimeokoka tangu Mwaka 47 π€ Click to expand... π€£π€£π€£
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,343 Lovelovie said: Ewwww View attachment 3019474 Click to expand... Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π Hapa ni Makoloboi street ama?
Lovelovie said: Ewwww View attachment 3019474 Click to expand... Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π Hapa ni Makoloboi street ama?
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,344 Aaliyyah said: π€£π€£π€£ Click to expand... ππ
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jun 17, 2024 #385,345 sumbai said: Hahahahaha na huyo binti ni mtaaalam saana Kwa mapishi hakika Leo ni Leo Aaliyyah Click to expand... Mwenyew nimezamia Kwa watu
sumbai said: Hahahahaha na huyo binti ni mtaaalam saana Kwa mapishi hakika Leo ni Leo Aaliyyah Click to expand... Mwenyew nimezamia Kwa watu
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,346 Grahams said: Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π Hapa ni Makoloboi street ama? Click to expand... Yani unatisha mno. Hapana niliikuta tu mtandaoni hiyo picha
Grahams said: Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π Hapa ni Makoloboi street ama? Click to expand... Yani unatisha mno. Hapana niliikuta tu mtandaoni hiyo picha
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,347 Lovelovie said: Yani unatisha mno. Hapana niliikuta tu mtandaoni hiyo picha Click to expand... Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha. Hujambo lakini Mjukuu?
Lovelovie said: Yani unatisha mno. Hapana niliikuta tu mtandaoni hiyo picha Click to expand... Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha. Hujambo lakini Mjukuu?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,348 Grahams said: Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha. Hujambo lakini Mjukuu? Click to expand... Makoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo. Niko poa kabisa babu
Grahams said: Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha. Hujambo lakini Mjukuu? Click to expand... Makoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo. Niko poa kabisa babu
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,144 Jun 17, 2024 #385,349 Lovelovie said: Mikono so issue hiko kichwa πππ Kinatisha Click to expand... Kichwa kimechongwa ahahahahah Mjini pazito πππ
Lovelovie said: Mikono so issue hiko kichwa πππ Kinatisha Click to expand... Kichwa kimechongwa ahahahahah Mjini pazito πππ
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jun 17, 2024 #385,350 Lamomy said: Chino itakuwa minuso ya shughuli unaipenda sana π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Chino alikimbia kidogo aliona damu zisije zikamrukia. Kuna vitu vya kukosa mchuchu ila sio mapishi ya Aaliyyah Ntakuchukua kwenye mgahawa wake siku mmoja
Lamomy said: Chino itakuwa minuso ya shughuli unaipenda sana π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Chino alikimbia kidogo aliona damu zisije zikamrukia. Kuna vitu vya kukosa mchuchu ila sio mapishi ya Aaliyyah Ntakuchukua kwenye mgahawa wake siku mmoja
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,351 Lovelovie said: Makoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo. Niko poa kabisa babu Click to expand... Hahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake π Uje tunywe kahawa hapa the Cask Mjukuu π€ π
Lovelovie said: Makoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo. Niko poa kabisa babu Click to expand... Hahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake π Uje tunywe kahawa hapa the Cask Mjukuu π€ π
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,352 Grahams said: Hahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake π Uje tunywe kahawa hapa the Cask Mjukuu π€ π Click to expand... Yani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππ Asante sana babu kwa kahawa.
Grahams said: Hahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake π Uje tunywe kahawa hapa the Cask Mjukuu π€ π Click to expand... Yani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππ Asante sana babu kwa kahawa.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,353 Poor Brain said: Kichwa kimechongwa ahahahahah Mjini pazito πππ Click to expand... ππππππ Ila aiseh. Watu wanajichongea misanamu
Poor Brain said: Kichwa kimechongwa ahahahahah Mjini pazito πππ Click to expand... ππππππ Ila aiseh. Watu wanajichongea misanamu
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jun 17, 2024 #385,354 sumbai said: Hahahahaha na huyo binti ni mtaaalam saana Kwa mapishi hakika Leo ni Leo Aaliyyah Click to expand... Esha bushet hii I'd ya Aaliyyah siyo ni yeye kweli Mkuu
sumbai said: Hahahahaha na huyo binti ni mtaaalam saana Kwa mapishi hakika Leo ni Leo Aaliyyah Click to expand... Esha bushet hii I'd ya Aaliyyah siyo ni yeye kweli Mkuu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,355 Lovelovie said: Yani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππ Asante sana babu kwa kahawa. Click to expand... Mwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba π Kahawa huwa haikataliwi Mjukuu isipokuwa beer π
Lovelovie said: Yani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππ Asante sana babu kwa kahawa. Click to expand... Mwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba π Kahawa huwa haikataliwi Mjukuu isipokuwa beer π
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jun 17, 2024 #385,356 Kapachino said: Esha bushet hii I'd ya Aaliyyah siyo ni yeye kweli Mkuu Click to expand... π€£π€£π€£Kha
Kapachino said: Esha bushet hii I'd ya Aaliyyah siyo ni yeye kweli Mkuu Click to expand... π€£π€£π€£Kha
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,357 Grahams said: Mwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba π Kahawa huwa haikataliwi Mjukuu isipokuwa beer π Click to expand... πππSura ya ki zombie, alfu litiwe mi make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima adate Asante sana babu mim nishazoea soda zile Fanta orange siunajua tena sie watoto.
Grahams said: Mwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba π Kahawa huwa haikataliwi Mjukuu isipokuwa beer π Click to expand... πππSura ya ki zombie, alfu litiwe mi make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima adate Asante sana babu mim nishazoea soda zile Fanta orange siunajua tena sie watoto.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,358 Lovelovie said: πππSura ya ki zombie, alfu litiwe ni make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima date Asante sana babu mim nishazoea soda zile Fanta orange siunajua tena sie watoto. Click to expand... Hatari sana π Haya uje unywe hizo soda za watoto wakati tunasubiria mahubiri yaanze hapa uwanja wa Kirumba π€
Lovelovie said: πππSura ya ki zombie, alfu litiwe ni make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima date Asante sana babu mim nishazoea soda zile Fanta orange siunajua tena sie watoto. Click to expand... Hatari sana π Haya uje unywe hizo soda za watoto wakati tunasubiria mahubiri yaanze hapa uwanja wa Kirumba π€
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Jun 17, 2024 #385,359 Grahams said: Hatari sana π Haya uje unywe hizo soda za watoto wakati tunasubiria mahubiri yaanze hapa uwanja wa Kirumba π€ Click to expand... Sawa babu niagizie kabisa nikifika iwe mezani
Grahams said: Hatari sana π Haya uje unywe hizo soda za watoto wakati tunasubiria mahubiri yaanze hapa uwanja wa Kirumba π€ Click to expand... Sawa babu niagizie kabisa nikifika iwe mezani
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Jun 17, 2024 #385,360 Lovelovie said: Sawa babu niagizie kabisa nikifika iwe mezani Click to expand... Wakutengenezee kwenye mfumo wa Cocktail ama kawaida? Ukikuta Mzee mmoja amevaa miwani ya macho pamoja na Mkongojo pembeni ujue ni Mimi π
Lovelovie said: Sawa babu niagizie kabisa nikifika iwe mezani Click to expand... Wakutengenezee kwenye mfumo wa Cocktail ama kawaida? Ukikuta Mzee mmoja amevaa miwani ya macho pamoja na Mkongojo pembeni ujue ni Mimi π