Selfika na JF: Snap it. Show it

Dogo naona umetafuta angle ya picha kujifariji mm na picha wapi na wapi
Ww jikubali ulivyo, wenzio wanajikubali ndio maana wana amani.

Bado hujajibu wale wenzio wapo wapi?
Kagoma kajikubali halafu anaonea wivu wenzie, kakomaa na picha picha. Tukimwambia zilete anajichekesha chekesha
 
Kumbe unakula mjani bwanaπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†Nilikuwa nakukubali sana wewe. Kidogo tu, nikuvute uwe jiko langu. Ebu achaneni na hizi mada sister.
Zile changamsha kijiwe tu, mi na mjani wapi na wapi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tumeacha amani itawale
 
Najua hii imekupiga sana , hakuna namna..
Ww kunipiga mimi bado, wamenishindwa wenzio ww utaniweza?? We huogopi?? 🀣🀣🀣
Hii selfika nnayo na natamba nayo, bila amsha zangu uzi unapoa.
Yani nipo na bado nitakuwepo, mi ndo head girl wao humu.. 🀣🀣🀣🀣
Unataka ndio, hutaki ndio hivyo.!!

Kula pilau la idd utulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…