Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah ndio hao hao safari hii wamenipata ila moto utakaowawakia wa jehanum cha mtoto
Doooh!
Man man pole sana...

Hivi si kama last two/three weeks uliandika jamaa walitembelea jirani yenu hapo uzuri ulikuwa macho...Sasa hao washenzi inaonekana hawakuridhika

this's one of the reasons why i hate residing in TZ, unaishi ukiwa na wasiwasi karibu kwa kila wakati...
 
Lunch muda huunjaa kama yote
IMG_20191204_124024_272.jpeg
 
Doooh!
Man man pole sana...

Hivi si kama last two/three weeks uliandika jamaa walitembelea jirani yenu hapo uzuri ulikuwa macho...Sasa hao washenzi inaonekana hawakuridhika

this's one of the reasons why i hate residing in TZ, unaishi ukiwa na wasiwasi karibu kwa kila wakati...
Sasa ndio kwetu tutafanyaje!!!
 
Back
Top Bottom