We jamaa muongo khaaa!! πππ
Huyo pesa anazo mbwa haruki na Valentineβs Day alinipa bonge la zawadi. Sema ni vile shetani hapendi kuona wawili wakipendana
Hana chochote, mi si naona tu mara nyingi hapa mnatuma picha za ku download, As an IT professional zile picha nilikua naziona zote, halafu nakausha tu kwa sababu mi mstaarabu... hii najua inakupiga.. lakini ndio ukweli..
Halafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...

Hivi we unataka nini?
Unataka nikuabishe hapa
We umetuma picha za ku download hazihesabiki...
NIkawa nakausha tu...
Lakini moyoni unajua ukweli kabisa nachozungumza...
Tuachane na hizo issue..
Jambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuweka
Wanaume hatuna hayo mambo? Sawa, lakini kwanza mm naamini vipi kama ww ni mwanaume?
Halafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...
Kazi unayo kumbe huwa unasave picha zinazotumwa za watu?!! Haya unazifanyia Kazi gani?? Kumbe ww kidampa km coca alivyosema?!! Pole sana kumbe picha zinakutesa kiasi hicho??