Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashallah uduguu [emoji7][emoji7]
Baibui limepoaaaaa!! Nakuja kula pilau. Coca twende kwa uduguu wetu tukasherekee Idd kubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini lakiniii?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuchaaaaa!!!!
 
Bado hujasema, naona mna mipango mingi sana. Kazi iendelee
Kwanini umekubali siku zote hizo kugeuzwa jalala??? Tena na mtu unayemuita hajielewi??
Kantry unanichosha una lingine, ukiacha mipango yenu ya mtungo na genge lako??
Woiiiiii!!!!! Ni hatariiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumepambazukaaaaa hukuuu!!!
 
Duuuuuh!!!!
 
Kumbe humu ndaniii kuliwakaaa kinomaaa!!! Mbona hatareeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiiih. Danger 4 D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…