Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Jun 16, 2024 #384,621 Kapachino said: Fanya Ivo mchuchu Click to expand... ππππ unakunywa ulanzi au mbege??
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Jun 16, 2024 #384,622 cocastic said: Ba tamuu, huku uraiani, yaan mtu kajichanganyaa, nataka nimlipue ba tamu kani cancel, nimefuraa balaaaa Click to expand... ππππ punguza hekaheka uduguu
cocastic said: Ba tamuu, huku uraiani, yaan mtu kajichanganyaa, nataka nimlipue ba tamu kani cancel, nimefuraa balaaaa Click to expand... ππππ punguza hekaheka uduguu
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Jun 16, 2024 #384,623 Lamomy said: Na miutundu wanayo wale, nishawahi chungulia nyago Lao ππππ Click to expand... Labla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπ
Lamomy said: Na miutundu wanayo wale, nishawahi chungulia nyago Lao ππππ Click to expand... Labla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπ
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jun 16, 2024 #384,624 Lamomy said: ππππ unakunywa ulanzi au mbege?? Click to expand... Hata kunipigia simu? Msako wa DC wa ubungo kidogo upite na Mimi Nishakata zangu katarama hapa nirudi zangu mkoa
Lamomy said: ππππ unakunywa ulanzi au mbege?? Click to expand... Hata kunipigia simu? Msako wa DC wa ubungo kidogo upite na Mimi Nishakata zangu katarama hapa nirudi zangu mkoa
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Jun 16, 2024 #384,625 Nuzulati said: Labla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπ Click to expand... πππ wii we mtu m-bad
Nuzulati said: Labla ila kumbukumbu zangu ujana nishawahi kupindua meza kwa Mwanamke wa kimakondeπ Click to expand... πππ wii we mtu m-bad
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Jun 16, 2024 #384,626 Kapachino said: Hata kunipigia simu? Msako wa DC wa ubungo kidogo upite na Mimi Nishakata zangu katarama hapa nirudi zangu mkoa Click to expand... ππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kucheka
Kapachino said: Hata kunipigia simu? Msako wa DC wa ubungo kidogo upite na Mimi Nishakata zangu katarama hapa nirudi zangu mkoa Click to expand... ππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kucheka
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jun 16, 2024 #384,627 Lamomy said: ππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kucheka Click to expand... Tupia basi
Lamomy said: ππππππ chino em niache, usiku saa hizi ntaonekana chizi kwa kucheka Click to expand... Tupia basi
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 16, 2024 #384,628 Lamomy said: kweli nakwambia Click to expand... Aaaah wee
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jun 16, 2024 #384,629 Lamomy said: Age go huyo, aache kucheza km anashangilia Euro.!! ππππ Mikono inatakiwa itulie kiunoni kwa manzi huyo. Au kanywa serengeti kaanza michezo ya chui Click to expand... Acha watu wajiachie beibe
Lamomy said: Age go huyo, aache kucheza km anashangilia Euro.!! ππππ Mikono inatakiwa itulie kiunoni kwa manzi huyo. Au kanywa serengeti kaanza michezo ya chui Click to expand... Acha watu wajiachie beibe
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Jun 16, 2024 #384,630 sumbai where is Bantu Lady
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 16, 2024 #384,631 Lamomy said: punguza hekaheka uduguu Click to expand... uduguu, huyu ba tamu anataka nipoe, afu mie nipo km supu ya mbwa niliwe wa moto, sasa nikipoa sinogi hata kwa Chumvi.
Lamomy said: punguza hekaheka uduguu Click to expand... uduguu, huyu ba tamu anataka nipoe, afu mie nipo km supu ya mbwa niliwe wa moto, sasa nikipoa sinogi hata kwa Chumvi.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 16, 2024 #384,632 Kapachino said: sumbai where is Bantu Lady Click to expand... Hahaha wewe ndio ujibu swali Hilo... Umempeleka wapi mrembo wetu?? Bantu Lady
Kapachino said: sumbai where is Bantu Lady Click to expand... Hahaha wewe ndio ujibu swali Hilo... Umempeleka wapi mrembo wetu?? Bantu Lady
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Jun 16, 2024 #384,633 cocastic said: nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii, Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. Click to expand... πππ
cocastic said: nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii, Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. Click to expand... πππ
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Jun 16, 2024 #384,634 cocastic said: nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii, Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. Click to expand... alijua ukikwama life utapika uuze hapo baadae ukiwa bibiπππ
cocastic said: nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii, Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo.. Click to expand... alijua ukikwama life utapika uuze hapo baadae ukiwa bibiπππ
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Jun 16, 2024 #384,635 cocastic said: Togwaa upate ile kutumia mihogo, ndo tamuu km sodaa, ila kutumia mahindi na ulezi ni chunguu balaaa na inaleweshaa. Click to expand... πππSasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sana
cocastic said: Togwaa upate ile kutumia mihogo, ndo tamuu km sodaa, ila kutumia mahindi na ulezi ni chunguu balaaa na inaleweshaa. Click to expand... πππSasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sana
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Jun 16, 2024 #384,636 Lamomy said: Chango limeacha uduguu πππ Halafu 100 others alikuwa anakuulizia Click to expand... Acha kumzingua bro..
Lamomy said: Chango limeacha uduguu πππ Halafu 100 others alikuwa anakuulizia Click to expand... Acha kumzingua bro..
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 16, 2024 #384,637 Ms R said: alijua ukikwama life utapika uuze hapo baadae ukiwa bibi Click to expand... Ndo maana ake
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jun 16, 2024 #384,638 Ms R said: Sasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sana Click to expand... ile iwe siku hiyo hiyo, ikilala ni hatariiii.
Ms R said: Sasa m ya mahindi ndo nimewahi kuinywa mbona niliona tamu sana Click to expand... ile iwe siku hiyo hiyo, ikilala ni hatariiii.
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jun 16, 2024 #384,639 Lamomy said: Kufa na kipilipili lazima wakushangae kidogo ππππ Click to expand... ππππππ chizi sana..nmecheka
Lamomy said: Kufa na kipilipili lazima wakushangae kidogo ππππ Click to expand... ππππππ chizi sana..nmecheka
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jun 16, 2024 #384,640 Lamomy said: Na nna liubuyu limenikaba kooni balaa πππ Mmbea mwenzangu tumegombana basi wa kumwambia sina!! Nyie ntakufa miye Click to expand... Nije uniambie bff π€
Lamomy said: Na nna liubuyu limenikaba kooni balaa πππ Mmbea mwenzangu tumegombana basi wa kumwambia sina!! Nyie ntakufa miye Click to expand... Nije uniambie bff π€