Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,645
- 23,268
seems like ni kazee kalikogoma kukua akili kama mimi😂😂😂Umekuwa RITA uanze kuhoji age yangu?? 😂😂😂
seems like ni kazee kalikogoma kukua akili kama mimi😂😂😂Umekuwa RITA uanze kuhoji age yangu?? 😂😂😂
😂😂😂😂Wee mwehu ujue!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dr lizzyBene, tu?
Kwa hyo tuseme unapendaje🤔😂😂😂😂 Ila mwanaume naye akiwa mweusi sana anakuwa km Idd Amin, usiombe akasirike na awe na sauti zito km radi.. unazimia mbona
😂😂😂 Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikapaka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi 😂😂😂😂Dadeqiiiiiiiiiii umenkumbusha 😂😂😂kwa bibu sjawah ila skumoja nkasema nijaribu kwenye kwapa uuuuweeeeh mbona sikumalizia na sikurudia tena🙌🏾🙌🏾🙌🏾😂😂😂😂
😂😂😂😂 Mishangazi nangaiseems like ni kazee kalikogoma kukua akili kama mimi😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo ukomeee.[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikataka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awe kati, asiwe mweupe sana wala mweusi sana.!! Awe km Fally IpupaKwa hyo tuseme unapendaje🤔
weeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeee😂😂😂ila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tena😂😂😂 Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikataka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi 😂😂😂😂
mi ni aunt sjui wew mnene 😂😂 mshangaz😂😂😂😂 Mishangazi nangai
Hahahahaha ila pia weupe wamezaliwa tu hawajapenda wawe hvyoAwe kati, asiwe mweupe sana wala mweusi sana.!! Awe km Fally Ipupa
Uduguu podido liliuma sina hamu ikabidi nijizime data nivute kwa nguvu 👹👹👹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo ukomeee.
Ms rweeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeee😂😂😂ila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tena
Kwa kulivyonoga narudia ila ntakunywa nilewe ili nisisikie maumivu 😂😂😂weeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeee😂😂😂ila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tena
😂😂😂😂😂 basi mi dadami ni aunt sjui wew mnene 😂😂 mshangaz
Wajikite kwenye kutafuta pesa, rangi ya pesa na pesa wawe nazo. 😂Hahahahaha ila pia weupe wamezaliwa tu hawajapenda wawe hvyo
NaamMs r
unapenda utoto jimama weye😂😂😂😂😂😂😂😂 basi mi dada
Huku kwa wathugu Black ni Black tu haijalishiWajikite kwenye kutafuta pesa, rangi ya pesa na pesa wawe nazo. 😂
kumbe kalevi😂😂😂Kwa kulivyonoga narudia ila ntakunywa nilewe ili nisisikie maumivu 😂😂😂