cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Lekchaaaa hakna ma broohz hayo maeneo, ufanye mafekechee nijiwekee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lekchaaaa hakna ma broohz hayo maeneo, ufanye mafekechee nijiwekee.
😔😔😔🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️Kanikonyeza kidogo tu beibe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana moyo wangu umekataa kabisaa.!! Km huyo mwenye wig la red color simuamini hata kidogo!! Macho yote kwako, hajakukonyeza kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariiiiasante sana [emoji23][emoji23]
Kitu cha sneaker we huogopi?? 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] trokaaaaaah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, mie ctaki bhanaaa. Kwann lakinii?Kitu cha sneaker we huogopi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Katusaliti huyu tulikubaliana wanaume ni black tyuu.!! Yeye mweupe wa nini?? 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
we mwanamke weweeeeeeeee 😂😂😂😂😂acha basi jamani looohKitu cha sneaker we huogopi?? 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume mweupe labda awe kidampaa, ila kuwa rijali hanogi hata kwa asaliiiiKatusaliti huyu tulikubaliana wanaume ni black tyuu.!! Yeye mweupe wa nini?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na prova kaleeee la ki Russia 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, mie ctaki bhanaaa. Kwann lakinii?
nipo kikaangoni sasa😂😂Katusaliti huyu tulikubaliana wanaume ni black tyuu.!! Yeye mweupe wa nini?? 😂😂😂
Kitu pambe 🤸♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️we mwanamke weweeeeeeeee 😂😂😂😂😂acha basi jamani loooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ulale huko, wee anzisha vurugu uchokoze chango kikulambee vizurii.Na prova kaleeee la ki Russia [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiombe awe mweupe na pesa hana, wanakuwaga na gubu hao!! Halafu awe kimo cha maandamano wohii unaweza kuomba talaka mahakamani wakati huna ndoa naye 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume mweupe labda awe kidampaa, ila kuwa rijali hanogi hata kwa asaliiii
izi tabia za watu wafupi afu wanene bila shaka upo ivo🤣🤣🤣Kitu pambe 🤸♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Umesaliti chama 😂😂😂nipo kikaangoni sasa😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu una nn weyeee!! AaaahUsiombe awe mweupe na pesa hana, wanakuwaga na gubu hao!! Halafu awe kimo cha maandamano wohii unaweza kuomba talaka mahakamani wakati huna ndoa naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chango limeacha uduguu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ulale huko, wee anzisha vurugu uchokoze chango kikulambee vizurii.
kwani natumia utamu wako we binti vip bwan 😂😂😂Umesaliti chama 😂😂😂