Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,131
- 110,980
Nilitazama Lost zamani sana (ni TV show ya kitambo), nikaishia season 3...baadaye S4 wakaanza kutwist story nikaona wanapoteza sasa uelekeo nikaachana nayo
Niko bize na Empire + GOT ngoja nione kama hii lost itavutia..