Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Clint Eastwood anafahamika kama "A man with no name" kwenye muvi ya The good,Bad and the ugly ya mwaka 1961
Nae ni mtu mkimya hana maneno mengi yupo kama akina eminem...
Aliwahi kua gavana miaka ya 80s
View attachment 1281488

Kwenye hiyo movie anafahamika kama Blondie, mkuu. Na hakuwahi kuwa gavana, angalia vizuri.
 
Rainbow jana usiku.

6E31C7F3-75B5-4601-9F13-0A5E0423104D.jpeg
50FF8506-BCE2-4825-971E-7E250549BF12.jpeg
 
Okey, so ghost died?
Season 6 Ep 10 imeishia Ghost kapigwa risasi ya kifua, na baada ya kupigwa risasi kaoneshwa akianguka toka floor ya kwanza katika ile bar yake...

So hatujui ni nani kamshoot kati ya Tate (huyu humjui), Tasha, Tom etc

Hatujui kama ata survive au lah, season finale itakuwa ndefu kidogo na ndio mwisho wa Power story haiendelei tena
 
Back
Top Bottom