Nasikia walimfanyia hivyo ili asisaliti chama na waliofanya hivyo ni kina Dr. Dre,, kuhusu hao kina J. F. Kennedy na Tupac Shakur hao hawakuweza kufanyiwa cloning sababu vifo vyao vilikuwa so public maana cloning wanafanyiwa watu ambao ndiyo wanakaribia kufa siyo wale ambao wameshakufa na vifo vyao vimeshatangazwa kabisa hapana..
Siyo Em tu ni wasanii wengi wamekuwa cloned tukianza na Dr. Dre mwenyewe, Beyonce, Justin Bieber, Miley Cyrus, et al na hata Michael Jackson naye nasikia ilibaki kidogo wamclone,, inasemekana JB na MC pia ni one of those lizard people japo kuna watu wanasema ni rumours ila kuna ushahidi wa kutosha umewekwa humu mitandaoni..