Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naweka na mimi km vin
Kwani kuna shida kuweka avatar ya msanii ninayemkubali mi km big fans wake
Haina shida uduguu, em wekaa bhanaaaa. Onesha upendo kwa msanii wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The vibe
FB_IMG_17183584160193209.jpg
 
Ilitakiwa uwe na p2 pembeni kabla ya game.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio shem wako alikuwa anafosi nimzalie siku hiyo nikashangaa eti yy ndo ameninunulia p2, akili ikagoma kabisa kukubali. Nikatafuta upenyo nikanywa p2 ya kwangu.!!
Sasa baada ya mwezi ananiuliza hujisikii kula embe mbichi au usingizi hivi?? Nikamjibu, nasikia hamu ya chips kuku. Acha aniporomoshee mitusi, kumbe ile siku liliniwekea piriton [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nisingetumia akili ya ziada ningempa mtoto kizembe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilitakiwa uwe na p2 pembeni kabla ya game.😂😂😂
Mwenzio shem wako alikuwa anafosi nimzalie siku hiyo nikashangaa eti yy ndo ameninunulia p2, akili ikagoma kabisa kukubali. Nikatafuta upenyo nikanywa p2 ya kwangu.!!
Sasa baada ya mwezi ananiuliza hujisikii kula embe mbichi au usingizi hivi?? Nikamjibu, nasikia hamu ya chips kuku. Acha aniporomoshee mitusi, kumbe ile siku liliniwekea piriton 😂😂😂😂

Nisingetumia akili ya ziada ningempa mtoto kizembe 😂😂😂😂
Wooooiiii 😂😂😂😂😂maskin shemu wetu,mi sijawahi tumia izo p2 hata kuziona sijawahi na uzazi wa mpango naotumia ni kuhesabu mzunguko sjui ndom mara vijiti mimi hapanaaa,,nikakaa sasa nikatamani katoto aaaaiiiii weeeee si nikajibiwa aloooh katoto kazuriiiiiii aaah kazuri bwana weweeeeeeeee
 
Isiwe na ukungu wala umande tafadhari, picha iwe HD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu usinikumbushe jana 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kuna picha nimeona imepita nyie mi sitaki khaaaaaa!!!!

Ila nini uduguu fashion zingine zitupite 🤣
 
Uduguu usinikumbushe jana 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kuna picha nimeona imepita nyie mi sitaki khaaaaaa!!!!

Ila nini uduguu fashion zingine zitupite 🤣
nimeijua namtag apa kivumbi kianze aseee😂😂😂😂😂😂
 
Wooooiiii 😂😂😂😂😂maskin shemu wetu,mi sijawahi tumia izo p2 hata kuziona sijawahi na uzazi wa mpango naotumia ni kuhesabu mzunguko sjui ndom mara vijiti mimi hapanaaa,,nikakaa sasa nikatamani katoto aaaaiiiii weeeee si nikajibiwa aloooh katoto kazuriiiiiii aaah kazuri bwana weweeeeeeeee
Waoooh!! 🥰🥰🥰 Mashallah
Katakuwa kamcute km mama yake!!
 
nimeijua namtag apa kivumbi kianze aseee😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Yupi? Mi nasemea wa mtaani kwetu huku bonyokwa
 
Waoooh!! 🥰🥰🥰 Mashallah
Katakuwa kamcute km mama yake!!
weeeeee ni mzuri bwan,,hadi kuna jamaa mmoja aliniangalia mimi black then toto white zuriiiii,,, unajua alinambiaje😂😂😂,,eti nilim'baka babake ili nizae nae
 
Back
Top Bottom