Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,830
- 97,838
Na ndio hicho ninachowaambiaga mods, yani wanakulazimisha uwachachue😂😂😂Shida ya humu hata Kama hutaki ugomvi unakuta mtu anakuchokoza mpaka nawe unapaniki.
Leo bado kidogo hekaheka zianze hapa nikajikaza