Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo principles zako zinataka wazungu. Kuwa mkweliii.

Mie principles zangu zimeangukia kwa mpare na anazimudu.
😂😂😂😂 Uduguuu bana sio
Ila wamatumbi wana nongwa wote wanafanana tabia yani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uduguuu bana sio
Ila wamatumbi wana nongwa wote wanafanana tabia yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangu yuko tofauti sana, hadi najisemeaa ukipewa kilema, unapewa na mwendoo.

Kila ntu na ntuwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangu yuko tofauti sana, hadi najisemeaa ukipewa kilema, unapewa na mwendoo.

Kila ntu na ntuwe.
Hongera zako uduguu, mi naona hekaheka na vituko tupu. 🤣🤣🤣
 
Umeanza ukorofi wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu 100 anakutafuta huku
Nishampaa kavu lake, huyu atakaa asahau nilimsambaratisha.
Alikimbia had I'd yake, sahivii ba tamu kanitulizaa, sihushuliki na wenye stress.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi we ugumu wa maisha ndio ulipelekea uka left group?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tajiri, ila nimetoka kwenye familia inayoweza kumudu milo 3 kwa siku, na yenye kuakisi maisha bora.

Kuhusu mahitaji na huduma, nashukuru wazazi wangu wananipatia kila napohitaji.

Kwa Ba tamu nimefataa Uboo, ambapo siwezi kupata kwa mwingine.
 
Nishampaa kavu lake, huyu atakaa asahau nilimsambaratisha.
Alikimbia had I'd yake, sahivii ba tamu kanitulizaa, sihushuliki na wenye stress.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 kwan ni nani? Mbona amekuganda toka kitambo
 
Back
Top Bottom