Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,554
- 95,155
Ngozi inauma wee usipokuwa na subira unaweza kumkata Kofi 😂😂😂😂😂😂Vichwa vya uchungu
Ngozi inauma wee usipokuwa na subira unaweza kumkata Kofi 😂😂😂😂😂😂Vichwa vya uchungu
Majibu yako tu 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tajiri, ila nimetoka kwenye familia inayoweza kumudu milo 3 kwa siku, na yenye kuakisi maisha bora.
Kuhusu mahitaji na huduma, nashukuru wazazi wangu wananipatia kila napohitaji.
Kwa Ba tamu nimefataa Uboo, ambapo siwezi kupata kwa mwingine.
Upo? 😂🏋🏻🏋🏻🏋🏻
Nipo dear ex wifi najiweka tayari ni mda wa mguu kitandani mguu dilishani 🤸🏿♀️Upo? 😂
😂😂😂 halafu nilisahau kukuita jina sijui waliniwangia likanitoka.!! Tumeachiwa tena kwa mara nyingine wachachuaji wa uzi pendwa.!!Nipo dear ex wifi najiweka tayari ni mda wa mguu kitandani mguu dilishani 🤸🏿♀️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu bhana wakati naingiaa humu, si akawa ananikubali ila kunianza akashindwaa, sasa siku kapewa ubuyu huko kuwa mie ni kidampaaa,[emoji23][emoji23][emoji23] kwan ni nani? Mbona amekuganda toka kitambo
Huu uzi bila amsha amsha una poa sana 😁😁😁😂😂😂 halafu nilisahau kukuita jina sijui waliniwangia likanitoka.!! Tumeachiwa tena kwa mara nyingine wachachuaji wa uzi pendwa.!!
Wenye ndoa mnatunyanyasa sana tulio single 😂
Kumbe anakupenda 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu bhana wakati naingiaa humu, si akawa ananikubali ila kunianza akashindwaa, sasa siku kapewa ubuyu huko kuwa mie ni kidampaaa,
Kaanza kuweka chuki na hasiraaa kwangu, kapiga kimyaa alishindwa, mwsho wa siku akanivaa humu humu selfika.
Aseeeh kiliwaka hiyo siku, magazeti yalishushwa humu, wakaja na wenzie kumsaidiaa niliwafurushaa wotee.
Yeye huyoo hadi alikimbia kwa muda hiyo I'D yake, hawezi nisahauu kamweeee.
Kwa kifupi ni ananikubaliii haswaa, ila anavungaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nimemchana aache mazoea, mie mke wa mtu sahivi.
Woiiiiiih
Kaka yako yupi?? Em nikumbushe ujue humu nimetakwa na wengi 😂😂😂😂Huu uzi bila amsha amsha una poa sana 😁😁😁
We si umemkataa kaka yangu sasa hivi ungekuwa una uchezea mhogo 🤸🏿♀️🤸🏿♀️
Mmeanza tena kwa kweli mmeshindikana 😁😁😁Kumbe anakupenda 😂😂😂
Sasa si akusemeshe kwa sauti ya mamlaka ya pesa km ana jeuri.!!
Ila jf ukimkataa mtu anaanza kukuponda!! Umenikumbusha babu miga alivyoanzaga kuniponda bibi 🤣🤣🤣
Babu 😁😁😁😁Kaka yako yupi?? Em nikumbushe ujue humu nimetakwa na wengi 😂😂😂😂
Kwa hio utaolewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tajiri, ila nimetoka kwenye familia inayoweza kumudu milo 3 kwa siku, na yenye kuakisi maisha bora.
Kuhusu mahitaji na huduma, nashukuru wazazi wangu wananipatia kila napohitaji.
Kwa Ba tamu nimefataa Uboo, ambapo siwezi kupata kwa mwingine.
🤣🤣🤣🤣 Halafu inaanzaga km utani mara pap ban zinaanza.!! Na sijawahi kukosekana sijui kwanini??Mmeanza tena kwa kweli mmeshindikana 😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu napendwaaa had naogopaa ujue.Majibu yako tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio shida zako uduguu
😂😂😂😂 babu alikuwa na hekaheka sio ndogo.!! Em arudi atuchekeshe nimemiss mashauzi ya kihayaBabu 😁😁😁😁
Shida ya humu hata Kama hutaki ugomvi unakuta mtu anakuchokoza mpaka nawe unapaniki.🤣🤣🤣🤣 Halafu inaanzaga km utani mara pap ban zinaanza.!! Na sijawahi kukosekana sijui kwanini??
Ss hivi nimesema sitaki bifu wala ugomvi na mtu.
Niolewe mara ngapi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hio utaolewa?
Nimeona kila ukitia mguu lazima naye aje 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu napendwaaa had naogopaa ujue.