Hutaki Babu yako nikuoneshe mitindo ya Mwaka 47 š?Dah hapo kwenye kunifananisha na wahaya,umenikata stimuššš....
Kwa kuwa wewe ni Babu mwema usietaka Kiko kama Babu Grahams nitakupa opportunity ya kuwa designer
Huyo ni rafiki yangu, I snapped her tulipo kuwa tuna Soma kitabu.Jina lako la kiume,Kila siku najua wewe ni mwana kaka,Sasa mbona umepaka Hina unanicomfuse Sasa š
Nyie ni watoto wa kishua?Huyo ni rafiki yangu, I snapped her tulipo kuwa tuna Soma kitabu.
HapanaNyie ni watoto wa kishua?
Hahahahaha..kumbe eehMmh akija Mzee wa makamu ERoni yeye ataomba tenda ya kufanya scrub kabisaš
HahahahahaUnitafutie au unitafute, mbona unachaganya lugha legend...na hivi una kilo zako 75+ naamini yamo ya kutoshaā·ļøā·ļø
Halafu km unatupanga hv sie wazeeMmh akija Mzee wa makamu ERoni yeye ataomba tenda ya kufanya scrub kabisaš
š¤£š¤£š¤£š¤£We TM unajua Moyo wangu uko wapi,mengine ni mazungumzo baada ya habariHalafu km unatupanga hv sie wazee
Hahahahaha kwa kweli sijui Moyo wako uko wapi...lkn acha mazungumzo baada ya habari yatawaleš¤£š¤£š¤£š¤£We TM unajua Moyo wangu uko wapi,mengine ni mazungumzo baada ya habari
Bado upo Mjini?Mkuu uje tutembeleane Sasa hapa ,walau tubadilishane na story za mliotoka mjini na sisi wa huku Mbeya bwana .
Nipo town mzee wangu ,uwa narudi kijijini nikimaliza mshahara wote šBado upo Mjini?
Kesho nitapita Mbeya Pazuri kupata wine kidogo, maana Profesa Janabi ametushauri Wazee tupige pige wine kidogo Kwa ajili ya maendeleo ya afya zetu š
Upo nao huko,sijui unautunza vizuri au unautupatupa tuš¤šHahahahaha kwa kweli sijui Moyo wako uko wapi...lkn acha mazungumzo baada ya habari yatawale
Hahahahaha...na utunza vzr km uko kwangu uko sehemu salama kabisa siezi utupa hata kdgUpo nao huko,sijui unautunza vizuri au unautupatupa tuš¤š
Umeamkaje gentleman?
Nimeamka poa kabsa, Sijui wewe Rafiki kipenzi ,uliye mbali na upeo wa macho yangu..unasababisha ni kinywa maji nakuona kwenye glassUmeamkaje gentleman?
Oooooh umenifanya nikautafute ule wako,wa habari gani,nijidedicate!šNimeamka poa kabsa, Sijui wewe Rafiki kipenzi ,uliye mbali na upeo wa macho yangu..unasababisha ni kinywa maji nakuona kwenye glass