100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,178
- 36,366
Mkuu kumbe unaelewa, hujakosea kabisa.Upo Kanda Maalumu nini Mkuu?
Maana hiyo mboga ni common sana kule hasa unapotembelewa na mgeni 🤗
Mkuu kumbe unaelewa, hujakosea kabisa.Upo Kanda Maalumu nini Mkuu?
Maana hiyo mboga ni common sana kule hasa unapotembelewa na mgeni 🤗
Hio nguna ni appetizer tu, msosi kamili kuna kande na maziwa ya mtindi kabla ya kumalizia mahindi ya kuchemsha hio ndio dessert, sisi wakulima mkuu, lazima ule usije jifia shamba unapiga jembe..naona bwana harusi kachoka ghafla
Huwa naenda enda huko kusalimia ndugu na jamaa, hivyo nimekuwa mdau wa hiyo misosi 🤗Mkuu kumbe unaelewa, hujakosea kabisa.
Asante nime elewa vyemaUyole inapatikana Mkoa wa Mbeya.
Hapo Uyole ndiyo njia panda ya Kwenda Tukuyu, Kyela, Matema beach na Nchi jirani ya Malawi.
kaka hiyo picha huwa naiona tweeter, Mbona kila mtu ana jiita yeye Sasa??Hio nguna ni appetizer tu, msosi kamili kuna kande na maziwa ya mtindi kabla ya kumalizia mahindi ya kuchemsha hio ndio dessert, sisi wakulima mkuu, lazima ule usije jifia shamba unapiga jembe..
Aisee, itakuwa waliiba kutoka kwangu..kaka hiyo picha huwa naiona tweeter, Mbona kila mtu ana jiita yeye Sasa??
Barikiwa Mkuu 🙏Asante nime elewa vyema
Asante ndugu mjumbe japo nimekuja Kwa kuchelewa,😍umenoga
Ukinywa chai ya maziwa na katless mashair yanaimbika safi tu 😀😀😀View attachment 2999812
Wacha Wazee nasi tuungane na Mzee mwenzetu wa Mwaka 1885 kupitia uimbaji 🤗
#Nimepita Ulimwengu
Hello Sunday 🥂
Chai ya maziwa, Viazi vitamu na magimbi 😋Ukinywa chai ya maziwa na katless mashair yanaimbika safi tu 😀😀😀
Hongera Babu
nawe piaBarikiwa Mkuu 🙏
itafutie haki milikiAisee, itakuwa waliiba kutoka kwangu..
Ngoja nipige nyingine..
🙏🙏🙏nawe pia
Mkuu uje tutembeleane Sasa hapa ,walau tubadilishane na story za mliotoka mjini na sisi wa huku Mbeya bwana .
Happy birthday Mike ,sema wapi nasie tuje kupata walau kidogo kekiKazini kwangu ka cake ka mchongo.Nakuwa mbabu mkipara sasa.View attachment 3000982