Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,751
Ukila mchana hivi sio shidaView attachment 2993180
Nimeambiwa Profesa Janabi bado yupo Likizo, Wacha nile ya mwisho mwisho kabla hajarudi 😜
Hello Saturday 🥂
Ukisikia natural color ndio hii sasa
Natangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi 😜Ukila mchana hivi sio shida
HahahahahaNatangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi 😜
Ulipo nipoNatangaza utakuwa consultant wangu kwenye mambo ya Chakula na Lishe, nimechoka kula Kwa kumuogopa Profesa Janabi 😜
Barikiwa Mkuu 🙏Ulipo nipo
😅😅😅Hahahahaha
Nipo tayar kubadil dini jf nzima hakuna mzuri kama ww
Natafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaah😍😋💞👄❤️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Natafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaah😍😋💞👄❤️
Sura ipo wapi?
Kwenye jua kalii hapo 😂😁Sura ipo wapi?
Unavyocheka tu sasa tukiwa chumbani nakumiminia makopa kopa tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
HahahahahaNatafuta hela nikutoroshe nikufiche geto una mwili mzuri wa kimapenz nakupeleka chumbani huku nakenua meno tu mwaaah😍😋💞👄❤️
Mzee hio 1982 hizo message mlikuwa mnatumiana kwa kifaa kipi?View attachment 3003362
Nimejaribu kukumbuka kisa cha Mzee mwenzangu aliyeachwa na Mpenzi wake Mwaka 1982 😜
Imagine ulikuwa ukinywa Maji unamwona kwenye glass
Hupati Usingizi usipopata meseji yake ya goodnight baby, hata kama meseji yenyewe unatumiwa saa 11 jioni🙌
#Tafadhali nieleze nawezaje kuishi bila wewe
Wazee pia huachika 🙌
Good morning 🥂