Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tresor Mandala sumbai Leo mbona mmepotea sana mmewahi twilight glory??
Haya njooni muoshe macho na kazi ya designer kutoka Malaysia pic ziko mbili tu Moja inapatikana Dar es salaam,nyingine Kuala Lumpur 😁😁
Asante saana.

Huo mguuu WA kihaya mtamu saaana.

Kwakweli designer Kazi ameijulia.

I wish that golden opportunity for being a designer could have been mine
 
Asante saana.

Huo mguuu WA kihaya mtamu saaana.

Kwakweli designer Kazi ameijulia.

I wish that golden opportunity for being a designer could have been mine
Dah hapo kwenye kunifananisha na wahaya,umenikata stimu😇😇😇....
Kwa kuwa wewe ni Babu mwema usietaka Kiko kama Babu Grahams nitakupa opportunity ya kuwa designer
 
Mmh akija Mzee wa makamu ERoni yeye ataomba tenda ya kufanya scrub kabisa😂
Legend unataka massage ya mikono yangu? Nitakufanyia jambo hadi ushangae!!
 

Attachments

  • Screenshot_20240528_141630_Google.jpg
    Screenshot_20240528_141630_Google.jpg
    142.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom