Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,710
Hutaki Babu yako nikuoneshe mitindo ya Mwaka 47 😜?Dah hapo kwenye kunifananisha na wahaya,umenikata stimu😇😇😇....
Kwa kuwa wewe ni Babu mwema usietaka Kiko kama Babu Grahams nitakupa opportunity ya kuwa designer
Hiyo kazi haimfai mtu mwingine zaidi ya Babu yako hapa 🤗