Kelele miiiingi.... Vibamia utavifahamu tu [emoji87][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1281094
Jana tumelewa sana pombe tukachoma na mbuzi kula sana nyama. Cha ajabu tumeamka Leo asubuhi tumekuta yule mbuzi yupo hai ila mbwa Hamna, sijui kapotelea wapi View attachment 1280922
Ukishalewa akili unaachaga bar shee?Kelele miiiingi.... Vibamia utavifahamu tu [emoji87][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1281094
Abee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto
Huo wimbo.. nilishashindwa ukariri ajili ya uharaka wa matamshi. Yule jamaa ni ghost asee kwenye kurap fast
Sure...nimemkwuoti
Niache bwana natumis Qwerty keyboard
Au mwenzangu unatumia 3x4 keyboard
Dah mimi mmasai wa daslam bwana....! Hujambo
Daaah Star wars sijawahi kuzipenda hata kidogo...Waiting for the Star Wars: The Rise of Skywalker View attachment 1281148
Daaah Star wars sijawahi kuzipenda hata kidogo...
Waiting for the Star Wars: The Rise of Skywalker View attachment 1281148
Monster vipi???Yeah sana hata ule wimbo alioimba na Nicki Minaj unaitwa dungeon dragon nao ni [emoji91][emoji91]
But hiyo ndiyo long form ya EMINEM aliyoikusudia kweli au raia tu mmeongezea??
Loh hapana japo zinapendwa na wengi ila sijawahi zipenda..Mimi imenichukua zaidi ya miaka 10 hadi kuamua kuangalia na kuzimaliza.Nilikuwa naishia njiani siku zote. Ila this time huwezi amini nimeziangalia zote hii weekend iliyopita
Maybe spidi yako yq kutype ni ndogo..Hahahaha mie mwenyewe mbona natumia qwerty ila sichapii hovyo?? Hivi kumbe ukitumia 3×4 hauchapii hovyo enh??
Mkuu hats reception hujaiona[emoji23][emoji23]Watu mna hamasisha kuoa
Monster vipi???
Na My name Is....!
Hiyo alikusudia bibie si Alipitia Child abuse mama ake pia alikua ni mtu wa madawa ndio maana kajiita hvo. Wewe ukimuona yule jamaa psychologically unaona yupo normal??