[emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Karibuni tulime.View attachment 1280467
Acha hizo jamani!!
Kweli naweza fika mesi we uende kibosho?!
Kadi yako naitupa pale YMCA kwenye ile picha ya mjeshi!
Oooh!! Karibu nikugawie mkwe.Shamba limependeza, natamani ningekuwa mmliki wake
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Utuombee
Oooh!! Karibu nikugawie mkwe.
Shee sijakuelewa[emoji134]Kunafaa sana huku vile vya fasta[emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kufyeka.Mkwe kwani matrekta yaliundwa kufanya kazi gani?
Kufyeka.
Haya.kalaghabao...we endelea tu kupinda mgongo kama wacheza "Yope"
160?[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87]
Haya.
Utadhani mtu vileeUmejibu kwa upole kama si wewe
[emoji4][emoji4]Utadhani mtu vilee