Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,651
Aisee! Naomba huo unyunyu....
Maandalizi mapema huku moyoni naomba Xmas ipite ni full stress.Maandalizi sio boss
Nimetoka nduki huko nifungue nikajua nitamkuta mkulima katika picha, duh kumbe shamba tu




Nakutamanisha nini jamani?Mkwe unanitamanisha ujue...
Unamjambazia nani?Venye napenda kulima mimi jamani![]()
Shamba limependeza, natamani ningekuwa mmliki wakeNakutamanisha nini jamani?
Muda wa uzi kuvamiwa umefika!Hatutapumua hapa!
Miss Natafuta anakusalimia mkuu!
Labda kuosha wazeee nitakusaidia.
Hapana Ababy ni prescription ya kutoka kwa doctor,labda kama unamanisha kuvuta subira.Mimi navuta ila wewe![]()
Nyumbani kwetu au kwa Beberu.Ebbs town. 256.
UtuombeeUnamjambazia nani?
Nyumbani kwetu au kwa Beberu.
Aisee! Naomba huo unyunyu....
Unayaogopa maboksi eh?
Poa mkuu.Nyumbani mkuu.