Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,253
Kule kule kwa siku zote jamani!!
Ila kesho jioni ndo siku yenyewe!!!
Karibu sana, kadi yako ninayo hapa!!!!
Sichezi na wewe ujue, Haiwezekani nikiwa mjini ndo unakimbia!

. what a lucky jaman...Kule kule kwa siku zote jamani!!
Ila kesho jioni ndo siku yenyewe!!!
Karibu sana, kadi yako ninayo hapa!!!!
Sichezi na wewe ujue, Haiwezekani nikiwa mjini ndo unakimbia!

. what a lucky jaman...Karibuni tulime.View attachment 1280467
. what a lucky jaman...







Ndio nakazia bahati gan hii....sema ufungue kule kibarazan sasa utafungaje na unataka mgeni..
Nasema sichezi na wewe!! Kwa nini unanihepa eti

Nimetoka nduki huko nifungue nikajua nitamkuta mkulima katika picha, duh kumbe shamba tuKaribuni tulime.View attachment 1280467
Umenifanya nirudi juu chapuMkwe unanitamanisha ujue...
Acha hizo jamani!!Ndio nakazia bahati gan hii....sema ufungue kule kibarazan sasa utafungaje na unataka mgeni..![]()
Kwani hata nyie wazee wa kupuriza huwa mnatamani
Ni vile shamba tu limenawiri, kanishawishi kuwa mkulimaUmenifanya nirudi juu chapu
USA baby
Jina lako limenikumbusha jina la dada mmoja kwenye series ya 24 anaitwa chloe o'brien
Aisee yule dada anaijua computer kuliko hata anavyoujua mwili wake![]()



Oyeeeee beba boksi kijana uiwakilishe vizuri nchi.
Njoo unisaidie...kabla mgongo haujapinda..