Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we naye huna tofauti na Saint anne,, huyo hahami leo wala kesho..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Huyu ndio anafanya naishabikia Barca, na ndio mchezaji pekee ninaemfahamu. Hata kocha simjui, hivyo akihama mniambie.

Mkwe sitaki maswali.
 
Niliuliza..Hivi kwanini Benki hakuna vyoo vya wateja?
Mhudumu wa benki akanijibu
umekuja kuweka hela au mavi"[emoji23][emoji23][emoji23]
20191203_121231.jpg
 
Back
Top Bottom