Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Pm ukafanye nini?? Tuma pic wajumbe tukupitishe ndo uende piem 😂😂😂Mpaka aje kuomba yeye, then nipate sababu ya kumfata pm 😅😅
Pm ukafanye nini?? Tuma pic wajumbe tukupitishe ndo uende piem 😂😂😂Mpaka aje kuomba yeye, then nipate sababu ya kumfata pm 😅😅
Yapi tena bina?? 🤣🤣🤣Kwa hayo nimeona huko juu hapana.
Wacha tu nimshauri mwenyewe bina.
Wajumbe nuksi tu nyie, hamna jema. Kule tunaenda kuyajenga Mimi na yeye 😅Pm ukafanye nini?? Tuma pic wajumbe tukupitishe ndo uende piem 😂😂😂
Oyooooo!! Waambie waje waselfike waache majungu.!! Mbona issue km hizi tunafunguka hapa hapa jomoooniii 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunijia PM na I'ds mpyaa, ili mnichokonoee sitakiiii!!
Unafikii sio shida zanguu, mie huwaga namalizaa hapa hapa wazi na umma unaonaa!! Cna mudaa wa kumzungumzia mtu mafichonii.
Sina hulka hiyo kwanzaa!!!
😂😂😂😂😂 etiiii 14 nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asiyekubali kuachika ni yeyee, aliyekua ana haha JF nzimaa, em atuachee bhana, afu mbona anatafutaa vita kwa nguvu mnoo?
Hasira za kutopewa I4n akamalizie huko, mie sitakiii bhana.
Myajenge kwan yalibomoka?? 😂😂😂Wajumbe nuksi tu nyie, hamna jema. Kule tunaenda kuyajenga Mimi na yeye 😅
Kwahiyo pamoja na kutoa bil 20 bado mnamlaumu😂😂😂😂😂We unawajua wahindi wewe waulize watu waliofanya kazi na wahindi watakuambia vizuri, kwanza we duniani ulisikia wapi timu yoyote ya mpira ya maana inayodhaminiwa au inayomilikiwa na muhindi, mambo ya udhamini na umiliki wa timu za mipira waachiwe wazungu na waarabu muhindi mbahili ana uchungu mno na pesa yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n ipi nzurii,? nzuri ni latest version, chukua 14pro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] etiiii 14 nini??
Taarifa ya nini Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngojaa siku nikiwa na mood!! Mbona hata modes nishawapa taarifaa, kaa kwa kusubiriii.
Eti Coca umekuwa mlipua baruti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaa wee uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyooooo!! Waambie waje waselfike waache majungu.!! Mbona issue km hizi tunafunguka hapa hapa jomoooniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nshachachukaaa sahiii, tukutane kesho cc ake.Taarifa ya nini Coca
Hebu tudokeze
Mlipua makomboraa, M23Eti Coca umekuwa mlipua baruti?
Hapana kitu.Yapi tena bina?? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 mambo hadharani hatutaki kona konaShangaa wee uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nina kumuhe muhe na mja, niache kumvagaa hapa, niende mafichoni?
Mbona sijafikia hatua hiyo kabisaaa!!!
🤣🤣🤣🤣 kwahiyo waja wanaziba kitobo bure!! Sijapentraaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n ipi nzurii,? nzuri ni latest version, chukua 14pro.
Kheeeh muda unapita hollah, kuuliza unachojibiwaa unabakii kusema "bhaghoshaaaaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n sio makalio kwamba kila anayetembea kwa miguu miwili anayo, woiiiiih
Si ndiooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo hadharani hatutaki kona kona
Hapo ni Marangu moshi...Mbona km msitu wa Luyumu, Songea vijijini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi uduguu hakukutajia bwana niliomuibiaaa? Nna hamu kumjuaa ujuee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo waja wanaziba kitobo bure!! Sijapentraaaaaa
Marangu kwa kijani hivyoo? Km kanda ya juu kusini vile.Hapo ni Marangu moshi...