Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] udugu si ndiomana shangazi yutiai inamsumbua kila mara, imekuwa sugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi Govinda, ni km mkono wa sweta la mkenya, tena la MAC
Woiiiiiiig
 
Acha mikwara mbuzi umeambiwa hata mje kundi zima hamuwezi kuharibu furaha ya shangazi..! We huogopi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nani anataka kuharibu furaha yakee?
Mbona anajistukia huyo shangazii akoo? Em atulizanee bhanaa
 
Lovelovie sis fundi achonishonea anajua mwenyewe😊 kale ka swagger kamemshinda nguo ameivuruga hatariiii!

Kichwani umeme sasa yelewiiiii🙌🙌🙌! Hapa sina poziiiiiii!
Wacha nirare kwanza kesho ntajua.
Msisahau kuchati na picha wapendwa.🤳

Mrare unonoooo😴😴😴😴😴😴!
🥲🥲🥲🥲Eeeh tena.
Pole ccy nitumie kule nione.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie naenda kumpeti petii Mr Albert tomba wangu.
Weuweeeeeeh
🤣🤣🤣🤣 Ila bibi jau sana!! Mr Albert tomba wangu kasafiri mwenzio, nimemmiss kweli😌😌
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nani anataka kuharibu furaha yakee?
Mbona anajistukia huyo shangazii akoo? Em atulizanee bhanaa
😂😂😂😂 furaha ya kufake mbaya sana!!
Shangazi sie hatuna time naye yy ale rungu la kipepe mpk achoke na ras zake km bob
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila bibi jau sana!! Mr Albert tomba wangu kasafiri mwenzio, nimemmiss kweli[emoji18][emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furaha ya kufake mbaya sana!!
Shangazi sie hatuna time naye yy ale rungu la kipepe mpk achoke na ras zake km bob
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anadhani kila mtu, yuko kufatilia ya watu yeyee? Atuliee na seleee wakeee.
Na sisi tuko na kina Albert tomba wetu, sasa yeye mahangaiko ya nn?
 
Back
Top Bottom