Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,508
- 8,720
Sio wewe ndio utamleta nami chino nikutane na baby za jfWeee kweli?? 🤣🤣🤣🤣
Haya nasubiri anilete bina
Sio wewe ndio utamleta nami chino nikutane na baby za jfWeee kweli?? 🤣🤣🤣🤣
Haya nasubiri anilete bina
Nimlete napajua unapoishi chino 🤣🤣🤣Sio wewe ndio utamleta nami chino nikutane na baby za jf
Siyo salama hadi uweke selfie yako uliyoniahidiSalama lakini?
Balaa😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌 Niliyechafuka minyota yangu begani
Muda wa kucheka hautafikaAahh wapi tutakomaa na simba yetu mpaka ituue kwani wakati sisi tunachukua ubingwa Misimu minne mfululizo ninyi mlihamia huku, uzuri wa hizi timu zetu bhana mashabiki huwa tunapokezana muda wa kulia na kucheka, kwahiyo hata sisi muda wetu wa kucheka tena utafika tu 😊😊
Sio muda namuita Meja jenero wangu coca aje atoe salamu za vita mpya na kikosi kipi kitaanza kushambulia 🤣🤣🤣🤣Balaa😁😁
Sasa tunafanyaje?Nimlete napajua unapoishi chino 🤣🤣🤣
Njoo bonyokwa chino 🤣🤣Sasa tunafanyaje?
Nikija mwenge unajificha
Nikija kariakoo na kukuta umeenda china
Hata yenu ilijifia hivi hivi mpaka ilipokuja kufufuliwa na Ghalib 😀😀Muda wa kucheka hautafika
Timu ishajifia hiyo 😂
Yanga gari lishawakaHata yenu ilijifia hivi hivi mpaka ilipokuja kufufuliwa na Ghalib 😀😀
Ohoo kumbe haujasikia, Subirini msimu ujao, shangilieni vya mwisho mwisho 😁😁Yanga gari lishawaka
Simba wa kufufua hayupo 😂
Mo anaenda kuwabwaga mazima😂😂😂😂Ohoo kumbe haujasikia, Subirini msimu ujao, shangilieni vya mwisho mwisho 😁😁
Wooi tungekuwa tunaenda kutembeza bakuli si tungeendelea kumbembeleza Mo, au we unafikiri Mo anaondoka kwa kupenda, nyie tulieni hapo hapo wana simba msimu ujao tuna jambo letuMo anaenda kuwabwaga mazima😂😂😂😂
Timu inatupokea ubakuli FC
HeeWooi tungekuwa tunaenda kutembeza bakuli si tungeendelea kumbembeleza Mo, au we unafikiri Mo anaondoka kwa kupenda, nyie tulieni hapo hapo wana simba msimu ujao tuna jambo letu
Acheni kuchafua uzi....Hee
Kumbe tajiri kachoka anawabwaga kweli!?!
Kweli makolo hawabebeki😂💔
Dada mkubwaAcheni kuchafua uzi....
Ila nyie bana...mnajua mna ulimbukeni mpk malimbukeni wenye phd zao wamekaa pembeni... 🤣 🤣 🤣 🤣Dada mkubwa
Ngoja tuusafishe uzi😂